Skip to content Skip to right sidebar Skip to footer

Salamu

EID MUBARAK

Uongozi wa shule ya awali na msingi Samandito wanawatakia waislamu wote Eid Mubarak na kuwasisitiza kuendelea kusherekea kwa amani.

Pia tunaendelea kuwahimiza kuendelea kulinda afya zenu dhidi ya ugonjwa wa corona hasa kipindi hiki cha mikusanyiko ya sikukuu. Asante.</p>